All glory be to God Almighty,for mercy and grace belong to God


Ninazishuhudia rehema za Mungu wangu maishaini,amenipenda ni kweli, sijaona  Maishani Mungu mwenye rehema kama huyu, moyo wangu umemtumainia wala sitatetereshwa tena na milele,…..oh thank u sana kwa kunipenda, umenifanye mtu wa ajabu duniani ,ambaye umenifanya kwa mikono yako mwenyewe, na kunizaa kwa Neno lao la UZIMA for your own glory, umenifanye nitumike mbele yao,oh thank Jesus, am very grateful for the Gift of salvation uliyonipa, glory be to u forever and ever

Nikirimie nguvu za kuendelea kukutumikia na kukupendeza sana kwa majira yote yaliyosalia kwa habari ya uhai wangu uiosalia juu ya uso wa nchi, be with me please in everything that i say and that i should do, give me ur wisdom and understanding please in everything….

 

Nifanye chombo chako kitakatifu na cha kukupendeza, najua umenifanya kwa makusudi maalumu juu ya uso wa nchi, na moyo wangu umeamua kukutumikia kwa majira yote yaliyosalia kwa habari yangu… asante kwa kunipa akili ya kukujua wewe Mungu wangu,wa kweli na wa pekee,na Yesu KRISTO uliyemtuma kwangu na kwa ulimwengu…{yohana 17:3-4}…

Ohh thank u Lord again, i mean thank u daddy…

 

Love u LORD

Matty Danny

Advertisements

One thought on “All glory be to God Almighty,for mercy and grace belong to God

  1. […] All glory be to God Almighty,for mercy and grace belong to God. […]

    Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s